16 August 2015

NIMEKUSOGEZEA MATOKEO YA MAN CITY VS CHELSEA NI NOMA


Nimekusogezea hii jinsi chelsea ilivyo lambishwa mchanga na watoto wa manchester city,
ambapo aguero alifungua dimba dakika ya 31 akipokea pasi kutoka kwa yaya toure.Huku dakika ya 79 company akifunga bao la pili akipokea pasi kutoka kwa ivanovic,na fedrandiho akimalizia ndani ya 85 na kuwavunja moyo chelsea kwa mchezo huo.

na mpaka mpira unakwisha mabao ni man city 3-chelsea 0

tupia maoni yako:)

No comments: