27 August 2015

NEC YAINGILIA KATI NA KURUHUSU UKAWA KUFANYA UFUNGUZI WAO JANGWANI

GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO



Tume ya taifa ya uchaguzi NEC imepinga zuio la kiwanja cha jangwani kutumiwa jumamosi kwaajili ya shughuli ya chadema, na kuruhusu kufanyika ufunguzi wao wa kampeni na kusisitiza kuwa kama kuna shughuli nyingine basi isubiri siku nyingine na sii kuingilia kampeni za chadema ambazo zilisha pangwa.

zuio hilo lilikuwa limewekwa na almashauri ya jiji, hivyo tume imeruhusu na kampeni kufunguliwa kama ratiba ilivyo pangwa jumamosi hii 29/8/2015.

No comments: