7 August 2015

NAKULETEA HII KUTOKA ANGOLA,POLISI NA DOLA 1,000,000


Tokeo la picha la dollar
Polisi nchini angola wanamtafuta mtu aliyesahau pesa zake zilizokutikana kwenye mkoba ndani ya ndege.Ambao uliachwa kwenye ndege iliokuwa ikisafiri hadi mjini beijing,

Rubani wa ndege hiyo ndiyo aliyezikabizi pesa hizo kwa maafisa wa angola.

Sheria inasema ni haramu kusafiri na kiasi kikubwa kama hicho kuvuka mipaka ya kimataifa.

Msemaji wa polisi nchi hiyo amesema wameanza kufanya uchunguzi asili ya nchi ya pesa hizo.

wachunguzi wanasema yeyote atakae jitokeza kumiliki pesa hizo atarudishiwa 1.5% ya pesa yote na kufunguliwa mashtaka ya kusafirisha pesa kinyume na sheria.

No comments: