GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO
Ni mgombea wa chama cha ACT ambaye na Bi Anna, pindi alipotembelewa na ITV na kuanza kuhojiwa na maswali yalikuwa hivi.
ITV-ni kipi kipaombele chako cha kugombea
bibie- hana jing'atang'ata tuuu
pia aliulizwa vipi anagombea urais wakati pia amechukuwa fomu ya ya kugombea ubunge,
bibie huyo pia alishindwa kujibu,
Nitaendelea kukusogezea habari kali zaidi usikose:)
No comments:
Post a Comment