30 August 2015

KUTOKA INSTAGRAM LEO

GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO
jokatemwegelo
Before The Day Ends I'd Love To Wish My Lil Princess A Happy Birthday. I Love U Much Much My Dahling @lyndahbrazen πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ˜πŸ˜❤️❤️πŸ’‹πŸ’‹πŸ’—πŸ’—πŸ’œπŸ’œ #Kidoti

wolperstylish
Kati ya nzii na sisimizi zikikusanywa pamoja nini kinaonyesha wingi😈 Mana sielewi ni watu nzi au sisimizi unaweza ukasita kutizama picha.. ukawa amani tu no matusi hakuna uwongo sera za kweli na vile vile malofa sisi tumejumuika kwa pamoja kusupport mh lowasa Na Mungu katusimamia Akuna damu iliyomwagika wala wizi ulotendeka Ameni.. #TorokaUje #Changes #Ukawa #Lowassa
fcbarcelona
auntyezekiel
TAARIFA MUHIMU; Lowassa kuhutubia live usiku huu; Mgombea Urais wa CHADEMA ambaye pia anawakilisha UKAWA, Edward Lowassa atahutubia taifa usiku huu moja kwa moja kupitia Kituo cha Televisheni cha ITV mara baada ya taarifa ya habari. Hii itakuwa Kwa ajili ya Watanzania ambao kutokana muda kuwa mfupi hawakupata fursa ya kusikia hotuba yote aliyopanga kuitoa leo Kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni za kitaifa za CHADEMA na UKAWA. HAYA BIBI ZENU WASIOKUWA NA WEB ITV INAHUSIKA KAMA NA HUKO HAMPATIKANI PIA SIO TATIZO LETU @jimmymafufu buanaaaaaa
sterling7
Great team performance, another massive 3 points well done the boys #MCFC!!!!

No comments: