Ni ufunguzi ulio fanyika katika kiwanja cha jangwani ambapo mambo mengi yalifanyika kama magufuli kutoa ilani na nyingine nyingi



pia wasanii hawakuwa mbali pia walitumbuiza

Rais wa zanzibar pia alihudhuria

pia kikwete alimpa sapota magufuli kabla ya yeye kusimama

hii ni ilani ya uchaguzi ya chama cha mapinduzi walio kabidhiwa na kikwete wakiionesha kwa wanachama wao
No comments:
Post a Comment