Kivuko hicho chenye uwezo wa kubeba abiria 100 na magari 6,kinacho fanya safari yake kutoka msemo kuelekea msangamkuu mjini mtwara.
kivuko hicho kilianza kutengenezwa kuanzia mwaka jana na kimegharimu kiasi cha shilingi bilioni 3.3
picha ya pamoja iliopigwa wakati wa ufunguzi
kivuko kikiwa kinaendelea na shughuli zake
kikwete akiwa anafungua jiwe la msingi
No comments:
Post a Comment